Deuteronomy 30:10

10 akama ukimtii Bwana Mwenyezi Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake ambayo yameandikwa katika Kitabu hiki cha Sheria, na kumgeukia Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote.

Uzima Na Mauti

Copyright information for SwhKC